Wataalam fanyeni "desalination" maji ya bahari yatumike siyo kung'ang'ania maji ya mito

Wataalam fanyeni "desalination" maji ya bahari yatumike siyo kung'ang'ania maji ya mito

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Salama wandugu,

Nimesikitika sana nilipomsikiliza mkurugenzi wa maji Cyprian akisema kilichobaki wananchi wa DSM waombe Mungu ili inyeshe mvua kweli engineer huna option kabisa.

Nchi za wenzetu wanafanya desalination kuondoa chumvi na chemical zingine ndipo yanatumika, umeme unazalishwa kwa nuclear Dawasa msitegemee Mto Ruvu, Tanesco msitegemee mito.
 
Unavyofanya biashara unategemea kupata faida,Dawasa inatoa huduma kwa jamii pia ipate faida ya kujiendesha, desalination process ni very expensive.

Utakuwa unatumia gharama kubwa halafu faida hupati, labda wajenge reservoirs kubwa kwa ajili ya kuhifadhi maji itasaidia kipindi cha dry season.
 
Unavyofanya biashara unategemea kupata faida, Dawasa inatoa huduma kwa jamii pia ipate faida ya kujiendesha, desalination process ni very expensive utakuwa unatumia gharama kubwa halafu faida hupati, labda wajenge reservoirs kubwa kwa ajili ya kuhifadhi maji itasaidia kipindi cha dry season.
Umeandika pumba
 
Mkuu umeme wa kufanya desalination uko wapi? Desalination inakula umeme haswa si huu wa tia maji tia maji leo
 
Mkuu umeme wa kufanya desalination uko wapi? Desalination inakula umeme haswa si huu wa tia maji tia maji leo
Kama wamefanya maamuzi magumu ya stigla goji hata hili wakiamua wanaweza
 
Unavyofanya biashara unategemea kupata faida,Dawasa inatoa huduma kwa jamii pia ipate faida ya kujiendesha, desalination process ni very expensive. Utakuwa unatumia gharama kubwa halafu faida hupati, labda wajenge reservoirs kubwa kwa ajili ya kuhifadhi maji itasaidia kipindi cha dry season.
Dawasa haifanyi biashara ili ipate faida.
Dawasa wanatoa huduma tu na wananchi wanachangia hiyo huduma.
 
Dawasa haifanyi biashara ili ipate faida.
Dawasa wanatoa huduma tu na wananchi wanachangia hiyo huduma

Dawasa haifanyi biashara ili ipate faida.
Dawasa wanatoa huduma tu na wananchi wanachangia hiyo huduma.
Kama biashara na haipati faida,mishahara ya wafanyakazi inatoka wapi,na miradi ya ndani inafanywa kwa hela ya ndani.Uwezo wako wa kufikiri mdogo na kufatilia mambo yanayoendelea kila siku.
 
Si wataanza kuvuna maji ya mto rufiji..hii itakua msaada mkubwa sana kwa jiji letu la dsm.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dawasa haifanyi biashara ili ipate faida.
Dawasa wanatoa huduma tu na wananchi wanachangia hiyo huduma.
Kama lingekuwa linaejiendesha kihasara lingeshakufa tayari,maana madawa ya kusafisha maji,umeme na kulipia mishahara hela zingetoka wapi?
 
Salama wandugu,

Nimesikitika sana nilipomsikiliza mkurugenzi wa maji Cyprian akisema kilichobaki wananchi wa DSM waombe Mungu ili inyeshe mvua kweli engineer huna option kabisa.

Nchi za wenzetu wanafanya desalination kuondoa chumvi na chemical zingine ndipo yanatumika, umeme unazalishwa kwa nuclear Dawasa msitegemee Mto Ruvu, Tanesco msitegemee mito.
Spare na bodaboda mnaagiza toka China, hicho kinu Cha nuclear unafikiri vinafanana na vile vya kupiga nyungu?
 
Chanzo cha uhakika kwa sasa duniani ni underground aquifer , maji haya hayakauki wala hayapungui guaranteed.. Nishasemaga haya muda mrefu tu humu jf, sana sana ni wakati sasa wa mamlaka husika kuwekeza kwenye visima na reservoirs zenye volume kubwa.
 
Salama wandugu,

Nimesikitika sana nilipomsikiliza mkurugenzi wa maji Cyprian akisema kilichobaki wananchi wa DSM waombe Mungu ili inyeshe mvua kweli engineer huna option kabisa.

Nchi za wenzetu wanafanya desalination kuondoa chumvi na chemical zingine ndipo yanatumika, umeme unazalishwa kwa nuclear Dawasa msitegemee Mto Ruvu, Tanesco msitegemee mito.
Mkuu yaani tushindwe kujenga matenki makubwa ya kuhifadhi maji yanayotiririka bure mto Ruvu, Mto Rufiji, Mto Wami na mito miingii iliyopo kwenye mikoa yetu ndiyo tuweze kufanya kitu expensive cha kuondoa chumvi maji ya bahari?? Yaani ni sawa na nyumbani kwako ushindwe kupata kitafunwa cha mihogo au magimbi na uji asubuhi halafu mtu aje kukushauri kwamba kama huwezi afford mihogo na uji why not try keki na juice ya passion??
 
Back
Top Bottom