Wataalam fanyeni "desalination" maji ya bahari yatumike siyo kung'ang'ania maji ya mito

Halafu watanzania, hasa wenye uwezo wa kifedha ni watu wa ajabu kweli. Yaani kuchimba kisima kirefu kwa mashine kwa Dar ni kinawezekana kabisa na hata kuwauzia majirani lakini wao wameng'ang'na na DAWASA tuu. Kijijini kwetu kuna jamaa mmoja amechimba maji na kujenga matenki halafu amewasambazia watu wengi tuu tena kwa bei ya chini kuliko ya serikali. Ila kwa roho mbaya za baadhi ya viongozi wetu wameanza kumpiga vita huyo jamaa na kumuwekea mizengwe.
 
Hakuna Cha gharama ni uzuzu tu, najua Kila kitu ndio maana nikasema
 
Nchi hii mito na maziwa mengi sana,hatuna vipaumbele.
Sisi ni nyumba kwanza badala ya choo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…