Ni kama mambo yamebadirika sana na hakuna anayewaza juu ya mizigo hii mizito kwa wananchi
Tulianza na umeme, Tsh 27,000 hadi 300,000+ Nafaka kutoka bei ya kila mtu anunue akale na kwa Milo yote mitatu, na sasa ni wachache sana wanaokula Milo mitatu kama siyo viongozi tu na wenye nafasi hapo serikalini
Na sasa suala la Bima kwa watoto,
Kuna nini hapo?
Mbaya zaidi hatuambiwi ikiwa kimetokea nini!
Ila tunakuwa tunaarifiwa tu serikali inapotaka kupanua wigo wa kodi ili iongeze mapato!
Hii ni kujaribu kuupiga tafu uchumi unaokufa?