Nitafanya hivyo mkuu!Possibilities ni hizi
1.maambukizi (infections) kwenye korodani( orchitis or epidymitis)
2.sehemu ya korodani kujikunja,, (testicular torsion)
3.Uvimbe kwenye pumbu (testicular tumor)
Hizo ni possibilities ukifika hospital itakuwa rahisi kujua shida ni ipi baada ya tathmini ya daktari.
SawaNitafanya hivyo mkuu!