Wataalam/madaktari msaada wa kitabibu unaitajika

Wataalam/madaktari msaada wa kitabibu unaitajika

G45

Senior Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
163
Reaction score
94
Wasalaam wandugu,

Nisipoteze muda niende moja kwa moja,

Mimi ni kijana umri 30+ nina siku ya pili sasa napata maumivu kwenye korodani moja sasa sijajua ni dalili za ugonjwa gani au inasababishwa na nini.

Wataalam mnisaidie napata maumivu makali sana kwenye korodani moja tu.
 
Possibilities ni hizi
1.maambukizi (infections) kwenye korodani( orchitis or epidymitis)
2.sehemu ya korodani kujikunja,, (testicular torsion)
3.Uvimbe kwenye pumbu (testicular tumor)
Hizo ni possibilities ukifika hospital itakuwa rahisi kujua shida ni ipi baada ya tathmini ya daktari.
 
Nitafanya hivyo mkuu!
 
Back
Top Bottom