Wataalam, Msaada Tafadhali

Wataalam, Msaada Tafadhali

Mkuu DALALI MKUU
Nachukua fursa hii kukushukuri kwa jitihada zote ulizochukua kunisaidia ku unlock pocket router wakati nikiwa nimepigwa Bann. Nakupa pole pia kwa kuibiwa ukifanya jitihada za kunisaidia. Bann yangu iliisha Jana saa Tano usiku. Kosa la kupigwa Bann nimeambatanisha kwenye screenshot hapa chini.

Screenshot_20250310-221621_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom