DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Uhakika babu?Sawa, tunaomba huyo msaada. Code Ikikubali tutakutumia elfu thelathini na Tatu
100% hakuna mzaha hapa. Watag mods woteUhakika babu?
Ile nimechek wamenipa ya tofauti na nishaliwa 22k mapema sana
Mwenye router kaliwa elfu 43 😅Ile nimechek wamenipa ya tofauti na nishaliwa 22k mapema sana
Sifanyi tena aseeMwenye router kaliwa elfu 43 😅
Jitahidi mkuu. Tulishaahidi kutoa chaiSifanyi tena asee
Wewe asubuh tu 22k ishaenda Bure sirudi tena,tena.Jitahidi mkuu. Tulishaahidi kutoa chai
Ile elfu 22 ilirudi?Wewe asubuh tu 22k ishaenda Bure sirudi tena,tena.
haijarudi mzeeIle elfu 22 ilirudi?
Pole mkuuhaijarudi mzee