Inatokea Tanesco wamekata umeme kwa siku 2
Nahitaji vitu gani mfano battery au power bank,n.k. niweze kukidhi mahitaji ya umeme kwa siku 2 kwa vifaa vidogo kama
Nahitaji vitu gani mfano battery au power bank,n.k. niweze kukidhi mahitaji ya umeme kwa siku 2 kwa vifaa vidogo kama
- Smart phone 4 zinazochajiwa mara 2 kwa siku, hutumia lisaa kujaa
- Router 1 inayotakiwa iwe kwenye umeme muda wote
- Laptop 1 ya Dell