Wataalam ningependa kujua kuhusu jambo hili

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,443
Reaction score
3,002
Habari za ijumaa wandugu,

Naomba nisiwachoshe Kuna Jambo nataka kujua au niseme nifate utaratibu gani! Miaka Kama mitano niliajiriwa na kampuni binafsi nikajiunga PPF, baada ya miaka mitano Nika be terminated, nikafatilia michango yangu ikawa Ni danadana za hapa na pale siku fanikiwa kupata chochote,katika kuangaika nikapata kazi sehemu nyingine nikajiunga na nssf,so ule mfuko wa ppf ukawa wamebadili na kua PSSF.

Baada ya kumaliza mkataba wangu mwaka huu mwezi wa tano,nikawa ntafatilia mafao yangu.ppf wakaendelea kunizungusha wakiniambia automatic michango yangu imeamisiwa NSSF huku nssf michango yangu ya ajira ya kwanza haipo. Ipo hii ambayo nimefanya kazi tu.

Je, niutaratibu gani nifate au nifanye nini ili nipate haki yangu?
 
Mkuu tafuta mwanasheria skushauri na sio pesa nyingi.

Ukiwa na 20 au 30k unashsuri kulikoni kuleta hapa labda ajitokeze Petro E. Mselewa

Akuelekeze
 
Kwanza pole ndugu.

Kinachotokkea ni kwamba pesa zako zipo ( hakikisha una nyaraka zote muhimu)

Unapoanza kufuatilia sasa pesa zako wao NSSF wataomba kuunganisha izo pesa kutoka the then PPF now PSSSF na kuja hapo NSSF account.

Kuhusu kupata pesa yako, hakikisha kuwa haujaajiriwa ndani ya miezi 6 kisha huo mwezi wa 7 anza kufuatilia fao lako la kukosa Ajira, watakupa muelekezo.

Kama Kazi yako ni zile ambazo hazina "taaluma" Kama ufagizi au Garden nk hapo watakupa pesa zao zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…