B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
Habari za ijumaa wandugu,
Naomba nisiwachoshe Kuna Jambo nataka kujua au niseme nifate utaratibu gani! Miaka Kama mitano niliajiriwa na kampuni binafsi nikajiunga PPF, baada ya miaka mitano Nika be terminated, nikafatilia michango yangu ikawa Ni danadana za hapa na pale siku fanikiwa kupata chochote,katika kuangaika nikapata kazi sehemu nyingine nikajiunga na nssf,so ule mfuko wa ppf ukawa wamebadili na kua PSSF.
Baada ya kumaliza mkataba wangu mwaka huu mwezi wa tano,nikawa ntafatilia mafao yangu.ppf wakaendelea kunizungusha wakiniambia automatic michango yangu imeamisiwa NSSF huku nssf michango yangu ya ajira ya kwanza haipo. Ipo hii ambayo nimefanya kazi tu.
Je, niutaratibu gani nifate au nifanye nini ili nipate haki yangu?