Wataalam saidieni

Wataalam saidieni

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,871
Reaction score
2,762
Ivi ni dawa gani unaweza tumia ili jipu lipone bila kukamuliwa
 
Kunywa dawa zakukausha, au pakaa kitunguu saum liwah kuiva utumbue tu
 
pima damu mkuu,haya majipu majipu sio dalili njema kwa afya za kizazi hiki..
 
Back
Top Bottom