Wataalam, tafadhali naomba kujuzwa jambo lifuatalo:

Wataalam, tafadhali naomba kujuzwa jambo lifuatalo:

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
1,550
Reaction score
1,742
Nakumbuka nilipokuwa na umri wa miaka 6 hivi, niliwahi kuugua sana sana. Baada ya muda, kuona kwangu kukawa kwa ajabu.

Nilikuwa naona vitu viwiliviwili quite exactly! Kama mapacha waliozaliwa kutokana na yai lililogawanyika, kiasi kwamba mlangoni nilikuwa najigonga kwa kukosea mlango.

Kila wakati huwa natafakari sana, ilikuwa in ugonjwa gani!

Nilikuwa nimekonda sana!

Tafadhali naomba msaada wa kujuzwa ugonjwa huo ilikuwa nini.

Asanteni.
 
Mbona issue Yako Kuona Vitu Viwili Viwili ni Ya Hospitali Kabisa...!

Nenda Hospitali Wataalamu wa Macho eneo hilo Wakakuone na Kukushauri.
 
Back
Top Bottom