Nakumbuka nilipokuwa na umri wa miaka 6 hivi, niliwahi kuugua sana sana. Baada ya muda, kuona kwangu kukawa kwa ajabu.
Nilikuwa naona vitu viwiliviwili quite exactly! Kama mapacha waliozaliwa kutokana na yai lililogawanyika, kiasi kwamba mlangoni nilikuwa najigonga kwa kukosea mlango.
Kila wakati huwa natafakari sana, ilikuwa in ugonjwa gani!
Nilikuwa nimekonda sana!
Tafadhali naomba msaada wa kujuzwa ugonjwa huo ilikuwa nini.
Asanteni.