Wataalam UDSM wagundua na kutangaza dawa ya Corona(Covid 19) inaitwa FUKIZA

Wataalam UDSM wagundua na kutangaza dawa ya Corona(Covid 19) inaitwa FUKIZA

Wanabodi: Nimefurahishwa na Tangazo la wataalam wa chuo chetu kikuu cha Dar Es salaam kutangaza dawa mpya ya Corona inayoitwa Fukiza. dawa hiyo kwa mils 10 inauzwa sh 6,000 tu. kuhusu matumizi na ufafanuzi zaidi tazama video clip hapa chini.

DAWA YA CORONA TANZANIA
The Nation of intellectuals we can't agree with nonsenses ideas which broght by fewer peoples who whants to earn their incomes for deceive uneducated persons.

I urging all peoples to despises this medicine how peoples can afford to purchases the pepper mixing in 6000 Tz plz peoples take care.
 
Hongereni Chuo kikuu kwa ugunduzi huu...
 
Safi sana. Sio kila siku tunanunua dawa zilizotengenezwa na watu kama sisi utafikiri sisi hatuna akili ya kuchanganya matirio 😄
 
The Nation of intellectuals we can't agree with nonsenses ideas which broght by fewer peoples who whants to earn their incomes for deceive uneducated persons

I urging all peoples to despises this medicine how peoples can afford to purchases the pepper mixing in 6000 Tz plz peoples take care.
mzee hii lugha gani umeandika hapa.? napata shida
 
Wanabodi: Nimefurahishwa na Tangazo la wataalam wa chuo chetu kikuu cha Dar Es salaam kutangaza dawa mpya ya Corona inayoitwa Fukiza. dawa hiyo kwa mils 10 inauzwa sh 6,000 tu. kuhusu matumizi na ufafanuzi zaidi tazama video clip hapa chini.

DAWA YA CORONA TANZANIA

Haha haha tutafukiza hadi kinyesi kudwadwadweke
 
Back
Top Bottom