Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,033
- 723
The Nation of intellectuals we can't agree with nonsenses ideas which broght by fewer peoples who whants to earn their incomes for deceive uneducated persons.Wanabodi: Nimefurahishwa na Tangazo la wataalam wa chuo chetu kikuu cha Dar Es salaam kutangaza dawa mpya ya Corona inayoitwa Fukiza. dawa hiyo kwa mils 10 inauzwa sh 6,000 tu. kuhusu matumizi na ufafanuzi zaidi tazama video clip hapa chini.
DAWA YA CORONA TANZANIA
Rudi shule hili yai lina viraka vingi sanaThe Nation of intellectuals we can't agree with nonsenses ideas which broght by fewer peoples who whants to earn their incomes for deceive uneducated persons..
mzee hii lugha gani umeandika hapa.? napata shidaThe Nation of intellectuals we can't agree with nonsenses ideas which broght by fewer peoples who whants to earn their incomes for deceive uneducated persons
I urging all peoples to despises this medicine how peoples can afford to purchases the pepper mixing in 6000 Tz plz peoples take care.
The Best comedy ever.dawa inavionjo vya pilipili?wape wenye ulcers.Safi sana. Sio kila siku tunanunua dawa zilizotengenezwa na watu kama sisi utafikiri sisi hatuna akili ya kuchanganya matirio 😄
hahahahahahaYaani kachumbari ndio inauzwa elfu 6?
Haha haha tutafukiza hadi kinyesi kudwadwadwekeWanabodi: Nimefurahishwa na Tangazo la wataalam wa chuo chetu kikuu cha Dar Es salaam kutangaza dawa mpya ya Corona inayoitwa Fukiza. dawa hiyo kwa mils 10 inauzwa sh 6,000 tu. kuhusu matumizi na ufafanuzi zaidi tazama video clip hapa chini.
DAWA YA CORONA TANZANIA
Kaandike intaranesheno ranguaje inaitwa BROKEN ENGLISHmzee hii lugha gani umeandika hapa.? napata shida
Ikikupata kovidi ndo utaelewa kachumbari au kachumberi..🤣🤣Yaani kachumbari ndio inauzwa elfu 6?