Wataalam UDSM wagundua na kutangaza dawa ya Corona(Covid 19) inaitwa FUKIZA

Yai viza
 
Mkuu mbona umeipa lugha ya watu majeraha namna hii, sina uhakika kama itatoka ICU...
 
😁😁😁😁 kwa lugha hii naomba uwaache watu wa UDSM waendelee kuzalisha dawa;
 
Wewe ni hata wajinga nao wamepewa uhuru wa kuchangia kwenye jamii yenye demokrasia. Hivyo tunathamini mchango wako ndugu.
 
Sawa lakini si nilisikia ugunduzi wa chanjo ndyo bora zaidi kuliko ugunduzi wa dawa ? , coz moja lengo kubwa dhidi ya mapambano ya huu ugonjwa ni kuutafutia chanjo itakayosaidia watu wasidhulike .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…