Wataalam UDSM wagundua na kutangaza dawa ya Corona(Covid 19) inaitwa FUKIZA


Duh jamani upo serious hiki ki inglish sio mchezo
 
Kufukiza kumepigwa marufuku kwa mtu mwenye matatizo ya kupumua. Badala mtu aongezewe hewa safi, oksijeni, anapewa mvuke wa moto.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pourquoi now Pourquoiiiiii
 
Sasa ndugu yangu si ungeandika kiswahili tu.
 
Hongereni sana wataalamu, haya sasa ndiyo matunda tunayotaka

Nawashauri na wale wa engineering watoe kitu maana hawajawahi kuteneneza hata sindano ya kushonea
 
Ila ingeandikwa made in India ungekimbizia mapumbu Pharmacy au sio!?
 
Kwa babu wa liondo ndio ilikuwa sampling ya watanzania tukiamini miujiza.....
 
Mbona fukiza Ni ile ile yaan maji ya Moto bado yanatosha kufanya kazi hiyo still dawa hiyo sijajua Ina react vip kwenye maji ya Moto pengine ndio inapoteza nguvu kwenye maji Moto kwanin isiwe kunywa au kutumia maji ya baridi
 
Nawapongeza! Lakini sioni kipya.Nakubaliana na mheshimiwa Rais kuwa tusidharau dawa za asili.
 
yaani juu ugonjwa unafanyiwa mchezo hapa bongo, corona part 1 kulijitokeza wataalamu wengi eti wamegundua dawa watu wakaliwa pesa zao imekuja hii part 2 wanaanza tena na gunduzi zao za faster faster, acheni kucheza na afya za watu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwa lugha hii naomba uwaache watu wa UDSM waendelee kuzalisha dawa;
Aiseee mwamba katoboa lugha ya watu vibaya sana, hapa hata jiwe akasome aisee
 
Msaada kwa aliyeelewa hii lugha niseme ukweli niliogopa umande
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…