Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji wa Elimu Wilayani Itilima Mkoani Simiyu.
Pia soma:
~ Kipindupindu Simiyu kimeshamiri, kinaua ni hatari! Mbona Serikali haiweki wazi 'status' ipoje?
~ DC Meatu asitisha shughuli za Ibada Makanisa yasiyo na vyoo
Taarifa ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu imesema Elimu imetolewa kwa kila Kaya kwa Wananchi Wilayani Itilima ikiwa ni jitihada endelevu za Serikali pamoja na Shirika la Afya Duniani katika kukabiliana na Ugonjwa wa kipindupindu Mkoani Simiyu.Pia soma:
~ Kipindupindu Simiyu kimeshamiri, kinaua ni hatari! Mbona Serikali haiweki wazi 'status' ipoje?
~ DC Meatu asitisha shughuli za Ibada Makanisa yasiyo na vyoo