naomba ushauri kati ya Toyota Estima na na Toyota Platz ipi gari ya nzuri ,imara kidogo kwa kununua?
Wasubirie wataalamu wa hizo kitu watakuja,,Ila kwa mtazamo wangu hakuna Gari nzuri hapo!! Embu badili mawazo hamia kwenye IST,Carina Ti,au hata RAUM new model ziko poa sana mkuu.
... Inategemea' ni kwa ajili ya matumizi gani, na pia budget yako, mazingira unayoishi (ubora wa barabara), kipato chako (nina maana matumizi ya mafuta)
Toyota CAMI na Vitz je? Nipe mtazamo wako!
I will go for Vitz,,Hata CAMI pia ni nzuri kama unakoishi barabara hazijakaa vizuri (between CAMI n VITZ the choice is your's mkuu)
Hizi ni gari za mademu.Toyota CAMI na Vitz je? Nipe mtazamo wako!
Habari za jioni wakuu,
Naombeni msaada ninunue gari gani kati ya Honda Fit na Mazda Demio. Mimi si mtaalam sana ila hizi ni kati gari ambazo naona si ghali sana na matumizi ya mafuta pia si makubwa.
Matumizi yangu ni kwaajili ya safari za mjini ofsin na shamba siku mojamoja
Asanteni
Habari za jioni wakuu,
Naombeni msaada ninunue gari gani kati ya Honda Fit na Mazda Demio
Mimi si mtaalam sana ila hizi ni kati gari ambazo naona si ghali sana na matumizi ya mafuta pia si makubwa
Matumizi yangu ni kwaajili ya safari za mjini ofsin na shamba siku mojamoja
asanteni
So far sijasikia complain ya Honda Fit,bt Mazda Demio huwa zinasumbua Crank Shaft.so itoe mawazoni hiyo!look for Vitz,IST na Cami pia,sio magari mabaya!
mazda kimeo....... Ikiharibika mpaka upate kifaa utasahau hata jinsi ya kupiga starter
Habari za jioni wakuu,
Naombeni msaada ninunue gari gani kati ya Honda Fit na Mazda Demio
Mimi si mtaalam sana ila hizi ni kati gari ambazo naona si ghali sana na matumizi ya mafuta pia si makubwa
Matumizi yangu ni kwaajili ya safari za mjini ofsin na shamba siku mojamoja
asanteni
naomba ushauri kati ya Toyota Estima na na Toyota Platz ipi gari ya nzuri ,imara kidogo kwa kununua?
Hizo gari zote ulizotaja yaani honda na mazda achana nazo zitakusumbua sana spare hasa kwa tanzania . Pia mafundi wengi zinawashinda .
Na wengi waliowahi kuwa na magari hayo yamewahia wameyapati. Na ndio maana hata kwenye mtandao unaona zikiwa used bei yake ni nafuu coz hazina soko. So futa mawazo hayo zitakusumbua. Nakushauri tafuta gari yeyote lakini iwe toyota.
Toyota CAMI na Vitz je? Nipe mtazamo wako!
nakushukuru sana mkuu
Ujue nilikua sijaangalia uzi ni wa mwaka gani.. bado kidogo nicomment 😁Ulifanikiwa kununua gari gani aunti