Hakuna hata moja itayo kufaa 1.Platz ni extended version ya Vitz za kwanza
Engine ni 990-1500cc(sio ngumu na re-sell value inashuka haraka sana,pia ina noise)
2.Estima
Engine ni 2AZ na 2MZ 2.4L -3.5L(spare hakuna, ukivunja taa mpaka uagize nje ama bei ghali sana)