Wataalam wa aina za magari please

Wataalam wa aina za magari please

naomba ushauri kati ya Toyota Estima na na Toyota Platz ipi gari ya nzuri ,imara kidogo kwa kununua?
Hakuna hata moja itayo kufaa
1.Platz ni extended version ya Vitz za kwanza
Engine ni 990-1500cc(sio ngumu na re-sell value inashuka haraka sana,pia ina noise)

2.Estima
Engine ni 2AZ na 2MZ 2.4L -3.5L(spare hakuna, ukivunja taa mpaka uagize nje ama bei ghali sana)
 
Back
Top Bottom