Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Ipi bora Kati ya Top up na kuvuta subira mkopo uishe?Mikopo yote ya benki inaanza na riba kubwa na mtaji kidogo. Mfano: Makato yako ni 200,000/= kwa mwezi...
Inaonekana mkuu haujambo kwa ku_top upIpi bora Kati ya Top up na kuvuta subira mkopo uishe?
Ukiwa unawaza Top-Up kila siku hutoendelea, na mikopo itakufanya uwe mtumwa. Waza kumaliza mkopo wako ufanye mishe zingine.Ipi bora Kati ya Top up na kuvuta subira mkopo uishe?
Wewe top up ufanye mambo bila hivyo mambo hayaendi huwezi subiri miaka 5.Ipi bora Kati ya Top up na kuvuta subira mkopo uishe?
Wewe top up ufanye mambo bila hivyo mambo hayaendi huwezi subiri miaka 5.Ipi bora Kati ya Top up na kuvuta subira mkopo uishe?
Kuna mdau kashauri sio vizuri kutop upWewe top up ufanye mambo bila hivyo mambo hayaendi huwezi subiri miaka 5.
Kuna mdau kakupingaWewe top up ufanye mambo bila hivyo mambo hayaendi huwezi subiri miaka 5.
Kwa hiyo ni muhimu umalize ili ukope tena?Yaelekea wengi humu hawajui hata mambo ya mikopo inaendaje
Unapokopa mf 10 000 000 na banki ikakwambia itakukopesha kwa riba ya 21% maana yake fedha hiyo utairudisha 12 100 000 kama mkopo utakuwa ni wa mwaka mmoja basi utagawanya kwa miezi 12 hivyo kwa kila mwezi utatakiwa kulipa 1 008 333.
Wale wataalamu wa kukopa na wenye ujuzi wa Bank na Mikopo, habari zenu?...
Angalia form yako ya mkopo, kuna vitu viwili PRINCIPAL & INTEREST. Sasa kwenye hilo rejesho unalosema wewe la 1008333 kila mwezi kuna kiasi kinalipa principal na kiasi kingine interest. Kwa miezi ya mwanzoni mwa mkopo kiasi kinacholipa interest ni kikubwa kuliko kinachopelekwa kwenye interest hasa mkopo ukiwa wa miaka mingiYaelekea wengi humu hawajui hata mambo ya mikopo inaendaje.
Unapokopa mf 10 000 000 na banki ikakwambia itakukopesha kwa riba ya 21% maana yake fedha hiyo utairudisha 12 100 000 kama mkopo utakuwa ni wa mwaka mmoja basi utagawanya kwa miezi 12 hivyo kwa kila mwezi utatakiwa kulipa 1 008 333.
mikopo mizuri ni ile mifupi mifupi not exceeding 2 years sasa unapokopa mkopo wa muda mrefu huku wafanyakazi wa benki wakihitaji mishahara kila mwezi unadhani hapo wangefanyaje ? ndio maana unaweza kukopa kwa muda mrefu amount ya kulipa ikawa ni ndogo sana monthly lakini ukaweza kulipa pengine mara mbili ya fedha ulizokopaAngalia form yako ya mkopo, kuna vitu viwili PRINCIPAL & INTEREST. Sasa kwenye hilo rejesho unalosema wewe la 1008333 kila mwezi kuna kiasi kinalipa principal na kiasi kingine interest. Kwa miezi ya mwanzoni mwa mkopo kiasi kinacholipa interest ni kikubwa kuliko kinachopelekwa kwenye interest hasa mkopo ukiwa wa miaka mingi
Twende Kwenye kiini Cha mada.mikopo mizuri ni ile mifupi mifupi not exceeding 2 years sasa unapokopa mkopo wa muda mrefu huku wafanyakazi wa benki wakihitaji mishahara kila mwezi unadhani hapo wangefanyaje ? ndio maana unaweza kukopa kwa muda mrefu amount ya kulipa ikawa ni ndogo sana monthly lakini ukaweza kulipa pengine mara mbili ya fedha ulizokopa
Yaelekea wengi humu hawajui hata mambo ya mikopo inaendaje.