B bestest Member Joined Mar 8, 2013 Posts 67 Reaction score 8 Sep 29, 2014 #1 Habari wanajamiiforums, nataka kufanya biashara ya mbao toka mufindi na kuziuza dar, kama kuna mu analolote ajualo Tafadhali naomba kujuzwa
Habari wanajamiiforums, nataka kufanya biashara ya mbao toka mufindi na kuziuza dar, kama kuna mu analolote ajualo Tafadhali naomba kujuzwa
Habari ya Mujini JF-Expert Member Joined Dec 22, 2013 Posts 2,517 Reaction score 1,044 Sep 30, 2014 #2 Mbao ngumu au laini?
R Ravenda. Member Joined Aug 8, 2014 Posts 14 Reaction score 2 Oct 12, 2014 #3 Inalipa but unapaswa kuwa na mtaji mkubwa km 10m hv.
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,930 Reaction score 2,565 Oct 12, 2014 #4 Ravenda. said: Inalipa but unapaswa kuwa na mtaji mkubwa km 10m hv. Click to expand... ...em funguka kidogo inalipaje,je ni vyema kupasulisha mwenyewe ?risk zikoje,nikinunua kibali kwa 10m gharama za kupasua zikoje ? Kama nimepata eneo la sq mita 600 gharama na faida zikoje...?!
Ravenda. said: Inalipa but unapaswa kuwa na mtaji mkubwa km 10m hv. Click to expand... ...em funguka kidogo inalipaje,je ni vyema kupasulisha mwenyewe ?risk zikoje,nikinunua kibali kwa 10m gharama za kupasua zikoje ? Kama nimepata eneo la sq mita 600 gharama na faida zikoje...?!
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,930 Reaction score 2,565 Oct 12, 2014 #5 Habari ya Mujini said: Mbao ngumu au laini? Click to expand... ...hamna mbao ngumu mufindi...