Wataalam wa biashara ya mbao toka Mufindi

Wataalam wa biashara ya mbao toka Mufindi

bestest

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
67
Reaction score
8
Habari wanajamiiforums, nataka kufanya biashara ya mbao toka mufindi na kuziuza dar, kama kuna mu analolote ajualo Tafadhali naomba kujuzwa
 
Inalipa but unapaswa kuwa na mtaji mkubwa km 10m hv.

...em funguka kidogo inalipaje,je ni vyema kupasulisha mwenyewe ?risk zikoje,nikinunua kibali kwa 10m gharama za kupasua zikoje ? Kama nimepata eneo la sq mita 600 gharama na faida zikoje...?!
 
Back
Top Bottom