Hellow mm bado najifunza in this forex business ila ningependa kuchangia kitu ikipendeza unaweza tumia au unaweza ongezewa kitu au unaweza punguza kitu by fact kwenye comment chini ya hii comment
Watu wengi atuelewi nini mana ya risk and money mangment
A.90% of traders awajui pips value kama ujui pip value uwezi kujua utapata shingapi au utapoteza shingapi
Kama ujui kwamba
Ukitrade ukapata pips 30
Kwa lot 0.01
Pair zifuatazo utengeneza usd izo basi tupo kwenye kundi hilo
GBPNZD=1.93usd
USDCHF=3.16usd
EURUSD=3usd
GBPJPY=2.81Usd
EURGBP=3.7usd
Asa uki focus na net pips. Uki lose 30pips in EURGBP utakua umepoteza usd 3.7usd
Ukigain 30pip in GBPNZD. Uta tengeneza usd1.93usd
Kwa traders wengi tutasema nipo kwenye break even no loss no profit ila ukweli. utakua una asala ya -1.77usd
B.90% wana trade bila kujua were to cut loss hivyo utakuta mtu anaona. Bora ni hold itageuka ila atakua ana baatisha na aelewi anachofanya
Kwaiyo kama na unavijua ivi vyote na avijakulipa for three year achana na hii biashara
Ila kama uvijui jua bado unavingi vya kujifunza jipe mdaa na endelea kusikiliza watu wengine. utapata exposure
@Kashebofx
+255758022953
Sent using
Jamii Forums mobile app