Wataalam wa gonjwa la HIV, tujuzeni kama kuna ukweli juu ya jambo hili


Nashukuru kwa ufafanuzi.Mtu anaweza kuambukizwa pale ambapo tone la mate toka mwenye HIV linapoingia jichoni kwake?
 
Nashukuru kwa ufafanuzi.Mtu anaweza kuambukizwa pale ambapo tone la mate toka mwenye HIV linapoingia jichoni kwake?

Mate yana idadi ndogo sana ya VVU ukilinganisha na majimaji mengine ya mwili kama manii, damu,maziwa au maji ya ukeni.Ndio maana busu ya mate haina hatari ya kuambukiza VVU.Hatari ya kuambukizwa VVU iwapo tone la mate la mgonjwa wa VVU likaingia machoni ni ndogo sana sana labda tu jicho likiwa na vidonda au michubuko au uambukizo mwingine.
 
Mbona majibu yote yanaeleza "KWA BAHATI MBAYA" inamaana dawa itatambua kuwa ni bahati mbaya?
 
Je kale katabia ka kunyonya matiti ya mwanamke kunasababisha maamhukizi?
 
Je kale katabia ka kunyonya matiti ya mwanamke kunasababisha maamhukizi?
Mh kweli mkuu hebu ngoja tusubiri wajuzi washushe au watupandishe presha maana wengeni haka ndiyo ka mchezo ketu
 
Je kale katabia ka kunyonya matiti ya mwanamke kunasababisha maamhukizi?

Matiti ya mwanamke ikiwa yanatoa maziwa(ambayo ni moja kati ya majimaji ya mwili-yani body fluids) basi yanakuwa yamebeba VVU. Kupata au kutopata kutategemea na jinsi njia yako ya mfumo wa umeng'enyaji chakula(Gastrointestinal tract) ilivyo. Ikiwa itakuwa na michubuko popote pale kuanzia mdomoni hadi kwenye utumbo, basi kuna uwezekano mkubwa ukaambukizwa!
 
Bado tuna safari ndefu sana kwenye janga hili feki la HIV/AIDS.Uongo wowote ukiurudia mara kwa mara kuusisitiza kuwa ni kweli mwishowe watu wataamini.Ni wale tu ambao wana ufahamu wa kutosha kuhusu uongo huo ndio watakaoweza kuepuka kudanganywa.
PEP hazina faida yoyote mwilini na hakuna mantiki yoyote kwamba husaidia kumuokoa mtu na maambukizi ya HIV kwa kuwa HIV/AIDS haImbukizwi kwa njia ya damu/sex/vimiminika vya mwili,na isitoshe HIV ni harmless passenger virus ever ever existed for centuries without causing AIDS.Najua hili ni jambo geni na jipya kwa wengi,na mtu anaposikia kwa mara ya kwanza inakuwa kama muujiza kwake hasa pale mzungumzaji anapokuwa sio maarufu kama watu ambao tumewazoea kama vile Antonio Faucci,Robert Gallo au Luc Montagnier.
Tanzania/dunia bila HIV/AIDS inawezekana kwa wale tu ambao wata unlock password hii kama mimi.Mimi siogopi HIV kwa kuwa naelewa na najua pia undani wa ugonjwa huu feki kuanzia;

1.Historia yake ambayo ni upumbavu uliopindukia
2.Hypothesis yake ambayo sio scientific kabisa,ni feki kupindukia
3.HIV tests used which are extremely fake
4. Kwa nini waliotudanganya wameamua kutudanganya

Kama mtu anapinga hili,kabla hatujaanza mjadala wa kisayansi kwanza aende kituo cha afya chochote kinachopima kina mama wajawazito ambao pia waume zao wamepimwa pia,halafu uliza idadi ya couple zilizopimwa HIV na matokeo yake kwa mme na mke wake ambaye ana mimba.Ukishapata majibu tumia akili yako,huna haja ya kuniambia.Hapo ndio utajua namaanisha nini.Kwa msaada zaidi nenda topic hapo chini na soma post zangu zote.

Korea Kaskazini yatoa ushahidi kuwa Marekani ndiye mwanzilishi wa Ebola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…