Kwa mujibu wa TRA wastani wa magari mapya 100,000 husajiliwa kila mwaka. Ukitaka maelezo mengi wapigie Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Jeshi la Polisi - Kitengo cha Usalama Barabarani watakujibu
Hizo zinaleta ukakasi, hasa kutofautisha 0 na O, I na 1
Pia gari za serikali now wametoka STK, STL, STM sasa wapo STN usishangae wakaruka Tena O wakaja na STP,
Vivyo hivyo DFP zilishajaa wakaja na DFPA now wapo DFPB watafanya hivyo hivyo kuiruka O na I.