Wataalam wa hii mambo nielekezen

Zx5

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Nlinunua hosting kwenye kampuni moja na nililipia kwa njia ya card visa card, walinitumia invoice kuwa order ime be verified lakini nina muda karibu wiki mbili sasa kila nikiingia kwenye website yao wananiambia sina package yeyote, ila kuna sehem nikifungua nakuta ile order bado ipo pending apo nimeliwa o niendelee kusubr?
 
Wasiliana na kampuni waliyokuuzia. Wakupe maelezo sahihi
 
Tujue jina la kampuni kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…