Wataalam wa hii mambo nielekezen

Wataalam wa hii mambo nielekezen

Zx5

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
6
Reaction score
1
Nlinunua hosting kwenye kampuni moja na nililipia kwa njia ya card visa card, walinitumia invoice kuwa order ime be verified lakini nina muda karibu wiki mbili sasa kila nikiingia kwenye website yao wananiambia sina package yeyote, ila kuna sehem nikifungua nakuta ile order bado ipo pending apo nimeliwa o niendelee kusubr?
 
Wasiliana na kampuni waliyokuuzia. Wakupe maelezo sahihi
 
Nlinunua hosting kwenye kampuni moja hv na nlilipia kwa njia ya card visa card, walintumia invoice kuwa order ime be verified lakn nna mda karbu wiki mbili sasa kila nkiingia kwenye website yao wananiambia Sina package yeyote, ila kuna sehem nkifungua nakuta ile order bado ipo pending apo nimeliwa o niendelee kusubr?
Tujue jina la kampuni kwanza
 
Back
Top Bottom