chaggaa15
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 567
- 468
Mtu kuwa na kamasi zito kila saa na kuhisi kohozi kifuani bila kuumwa kifua wala mafua tatizo linakuwa ni nini na ipi tiba yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app