Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba contact za wachimba visima vya maji Dar.
Hivi inaweza kugharimu kiasi gani uchimbaji wa kisima cha maji kwa matumizi familia ya kawaida?
Shukran!
Asante sana Tripo9 umanifaa sana kwa hii link
Asante kwa hii link,
nimefaidika na maelekezo humo (kumbe hii topic awali ilishapata zungumzwa hapa JF)
Many thanks!