Wataalam wa kuku nimsaidieni tatizo hili kwa kuku wangu

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Ni mzoefu katika ufugaji.

Lakini kitu kinachonipa wasiwasi ni kwamba nina jogoo wangu mkubwa tu wa miaka kama miwili hivi. Sasa tangu juzi sauti yake inanipa mashaka anapowika.

Ni kama vile kaisha chaji. Sauti inatoka kinyonge na hata mda mwingine anaishia katikati hamalizii kuwika mpaka mwisho. Je, hii inaweza kuwa sababu ni nini?
 
King muwahi huyo, usijejuta bure.
 
Back
Top Bottom