General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,287
- 2,663
Kazi Nzuri mkuuUngekuwa Moshi kilimanjaro ningechukua hio dili. Ila kwa kukusaidia nenda kwa wachomea mageti waonyeshe hiyo dizaini wakutengenezee.
View attachment 3320830
ThanksKazi Nzuri mkuu
Location YakoWakuu kwemaa..Poleni na Majukum.
Natafita mtaalam ama mshauri wa kunisaidia hii Changamoto yangu.
Ninashida na Cage ya local sio zile za kuagizia toka china.
Nina fuga Kuku wa Mayai Wapatao 1000
mawasiliano yako mkuu??Ungekuwa Moshi kilimanjaro ningechukua hio dili. Ila kwa kukusaidia nenda kwa wachomea mageti waonyeshe hiyo dizaini wakutengenezee.
View attachment 3320830
Niweze kujua Gharama na MahitajioUmekwamaa wapi usaidiwe mkuu sababu kila kitu kinafanyika na fundi wa carpenter
0622914737. Omarymawasiliano yako mkuu??
Hii cage inachukua kuku wangapi naomba kufahamu na gharama pia ya material pamoja na ufundiUngekuwa Moshi kilimanjaro ningechukua hio dili. Ila kwa kukusaidia nenda kwa wachomea mageti waonyeshe hiyo dizaini wakutengenezee.
View attachment 3320830
0694438300Nina shida na huyo Carpenter
Niweze kujua Gharama na Mahitajio
Nimeipenda hiiUngekuwa Moshi kilimanjaro ningechukua hio dili. Ila kwa kukusaidia nenda kwa wachomea mageti waonyeshe hiyo dizaini wakutengenezee.
View attachment 3320830
Ulikuwa unaihaji ya mbao au ya chuma ? ...mimi nilitengeneza ya mbaoNina shida na huyo Carpenter
Niweze kujua Gharama na Mahitajio
Kuku 60-65Hii cage inachukua kuku wangapi naomba kufahamu na gharama pia ya material pamoja na ufundi
Kuku 60-65 chuma ya square nchi moja inatosha km pipe 17 wire mesh vijumba vikubwa tano. Chicken wire mesh ya plastic, conduit pipes, Elbow, koki ya maji, gata, drip za kuku kunywea maji gharama 300,000-350,000Hii cage inachukua kuku wangapi naomba kufahamu na gharama pia ya material pamoja na ufundi
Ni pamoja na gharama ya ufundi?Kuku 60-65 chuma ya square nchi moja inatosha km pipe 17 wire mesh vijumba vikubwa tano. Chicken wire mesh ya plastic, conduit pipes, Elbow, koki ya maji, gata, drip za kuku kunywea maji gharama 300,000-350,000
Kama unahela tafuta za kichina utanishukuruWakuu kwemaa..Poleni na Majukum.
Natafita mtaalam ama mshauri wa kunisaidia hii Changamoto yangu.
Ninashida na Cage ya local sio zile za kuagizia toka china.
Nina fuga Kuku wa Mayai Wapatao 1000
Sijaweka gharam y ufundi kwasababu huwa sitengenezi moja au mbili pekee hivyo huwa ni bei inakuwatofauti nnapopata mtu anatak kuanzia 3Ni pamoja na gharama ya ufundi?
Hiyo bei ni ndogo mno kulinganisha na zile za special. Halaf hizi ni piece za kuku 65. Hauwezi kuliunganisha km yale ya special. Halitaweza kusafirishika pia litakuwa zito snKukamilika kwa cage ya kuku 65 ni laki 350000 haya cage za kuku 1000 mzee wangu si hatari hiyo