Organic Uncle
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 167
- 331
Atakuwa kakutana na mlima wa bei ndio mana anaulizia za localKama unahela tafuta za kichina utanishukuru
Atakuwa kakutana na mlima wa bei ndio mana anaulizia za localKama unahela tafuta za kichina utanishukuru
Carpenter ni fundi mbao,Nina shida na huyo Carpenter
Niweze kujua Gharama na Mahitajio
Ni bora ingekuwa kuku 200 boss,, maana hizo unazo zungumzia za special zipo za kuku 400 bei safiii kabisaaaaHiyo bei ni ndogo mno kulinganisha na zile za special. Halaf hizi ni piece za kuku 65. Hauwezi kuliunganisha km yale ya special. Halitaweza kusafirishika pia litakuwa zito sn
Fafanua mkuu.Kama unahela tafuta za kichina utanishukuru
Contact zako?Ungekuwa Moshi kilimanjaro ningechukua hio dili. Ila kwa kukusaidia nenda kwa wachomea mageti waonyeshe hiyo dizaini wakutengenezee.
View attachment 3320830
Nimependa hii!Ungekuwa Moshi kilimanjaro ningechukua hio dili. Ila kwa kukusaidia nenda kwa wachomea mageti waonyeshe hiyo dizaini wakutengenezee.
View attachment 3320830