Blockchain
JF-Expert Member
- Feb 27, 2026
- 947
- 2,669
Junior haoTawire! Kuna wajinga wanahisi binadamu hawezi kufanya makosa unaweza kuwaona humu wakitoa mapovu
Junior haoTawire! Kuna wajinga wanahisi binadamu hawezi kufanya makosa unaweza kuwaona humu wakitoa mapovu
njoo umuoneAina za nyoka au?
Unavyojibu hapa tunakuona huna akiliDogo hujui kama hujui kaa kimya
SawaUnavyojibu hapa tunakuona huna akili
Kwa dunia ya sasa huwezi ukatengeneza bot kwa js ikupe utajiri labda utrain your model to predict which can be less profitable kwasababu makampuni yakisema wale faida hata mchezaje profit kwao ni kitendo cha kutaggle
Sasa wewe kijana huna A wala B et utengeneze Bot unda distro yako au Framework iwe success tujue unajua fyuu
Nimuone naninjoo umuone
,Njoo nikupe ubuyu kijanaaNimuone nani
Chaumbeaaa🤣,Njoo nikupe ubuyu kijanaa
Hujui kutumia AI?Wakuu wataalamu wa python na selenium, na JS playwright Tukutane hapa. Tupeane uzoefu na utaalamu.
Nina file la Epstein wa Jf 😬😬.. Fungu pm alafu nijeChaumbeaaa🤣
We namba zangu unazo usinichoshe😅Nina file la Epstein wa Jf 😬😬.. Fungu pm alafu nije
Sasa ndio kila mtu asikie jamani.. kidogo nikutumie namba yangu, niliibiwa techno yangu mpendwaWe namba zangu unazo usinichoshe😅
Andika hapa nikupigie lol😅Sasa ndio kila mtu asikie jamani.. kidogo nikutumie namba yangu, niliibiwa techno yangu mpendwa
watu wata quote ibaki hapa 😬😬😬 fungua kiduchuu tu natuma unafungaAndika hapa nikupigie lol😅
Wewe unanijaribu wakati tunafahamiana vzr tu! Hunipati ng’oo!😃watu wata quote ibaki hapa 😬😬😬 fungua kiduchuu tu natuma unafunga
Sikujaribu jamaaa yangu.. nakupa exclusive za moto na hivi leo sijatoka gheto.. nahamu ya kupiga umbeyaaa basi njoo wewe pm yanguWewe unanijaribu wakati tunafahamiana vzr tu! Hunipati ng’oo!😃
Ntakucheki jioni no yako ninayo nimalize kazi zangu kwanza!Sikujaribu jamaaa yangu.. nakupa exclusive za moto na hivi leo sijatoka gheto.. nahamu ya kupiga umbeyaaa basi njoo wewe pm yangu
Kube jioni haijafika lol! haya ndio madhara ya kujifungia ndani 😬😬.. nahisi asahivi jioni jioni mda wa kofiiNtakucheki juoni basi nimalize kazi zangu kwanza!