Wataalam wa kuunda BOT za macasino online Tukutane hapa tupeane utaalam

Dogo hujui kama hujui kaa kimya
Unavyojibu hapa tunakuona huna akili
Kwa dunia ya sasa huwezi ukatengeneza bot kwa js ikupe utajiri labda utrain your model to predict which can be less profitable kwasababu makampuni yakisema wale faida hata mchezaje profit kwao ni kitendo cha kutaggle

Sasa wewe kijana huna A wala B et utengeneze Bot unda distro yako au Framework iwe success tujue unajua fyuu
 
Sawa
 
Wewe unanijaribu wakati tunafahamiana vzr tu! Hunipati ngโ€™oo!๐Ÿ˜ƒ
Sikujaribu jamaaa yangu.. nakupa exclusive za moto na hivi leo sijatoka gheto.. nahamu ya kupiga umbeyaaa basi njoo wewe pm yangu
 
Ntakucheki juoni basi nimalize kazi zangu kwanza!
Kube jioni haijafika lol! haya ndio madhara ya kujifungia ndani ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ.. nahisi asahivi jioni jioni mda wa kofii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ