Wataalam wa magari naombeni ushauri

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,628
Reaction score
5,681
Kuna gari nimeipenda sana nataka nimwagizie wife.

Mazda CX-5 nzuri sana mwonekano.

Je wataalam upatikanaji wake wa spear ukoje?

Au kuna mtu amewah kuimiliki anishaur pls
 
Kama jipya nunua tu mpaka guarantee iishe likaanza kusumbua muda utakuwa umeenda uza likiwa bado na mwonekano mzuri km 80,000 mpaka 100,000 nunua jingine. Ila kama unanunua used na spea ndo kipaumbele chako nunua Toyota.
View attachment 2337219

Bro toyota ni gari nisiyoipenda maisha yangu yote sijawah kumilik toyota sijui nazionaje [emoji19]
 
Kabisa mkuu. Bora uwe very specific, sipendi Toyota rav 4 generation ya 1.
 
Kwamba kwenye hiyo "guarantee" ndo unapewa spares & parts bure?
Kwa uelewa wangu mdogo Guarantee Inategemeana na brand. Kila brand na offers zake. Kuna mtu alikuwa na Hummer kabla hawajastop prod ikaja na box lenye all necessary spare parts na handles. Set ya breakpads, shockup, stabliser links, sensors etc.
 
Magari yanayoenda kwenye masoko ya Marekani ni mabaya kimuonekano.

They're too big for nothing.
Well, egg shape, beast shape, feminine shape kila mtu na choice yake boss all in all point ni kuchukia brand zote za TOYOTA lazma kuna ambayo itakuvutia.

Big for nothing unamaanisha?
 
Well, egg shape, beast shape, feminine shape kila mtu na choice yake boss all in all point ni kuchukia brand zote za TOYOTA lazma kuna ambayo itakuvutia.

Big for nothing unamaanisha?
Twin turbo V6 engine yenye 400+ hp ni big for nothing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…