Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spear hela yako, watu wana miliki Rolls Royce Culian, RR Ghost na RR Phantom na spear hazi wasumbui . Dunia ni kijiji nzee
Kama jipya nunua tu mpaka guarantee iishe likaanza kusumbua muda utakuwa umeenda uza likiwa bado na mwonekano mzuri km 80,000 mpaka 100,000 nunua jingine. Ila kama unanunua used na spea ndo kipaumbele chako nunua Toyota.
View attachment 2337219
Toyota sio gari mkuu, Toyota ni kampuni yenye magari tofauti tofautiBro toyota ni gari nisiyoipenda maisha yangu yote sijawah kumilik toyota sijui nazionaje [emoji19]
Nakuelewa. Ila haiwezekani ukachukia Toyota zote boss. Unaweza chukia hii kitu? TuBro toyota ni gari nisiyoipenda maisha yangu yote sijawah kumilik toyota sijui nazionaje [emoji19]
Ndio mana nikamwambia Toyota ni kampuni [emoji28][emoji28][emoji28]. Kuna watu wana judge kampuni nzima kwa kuona Passo nadhani..Nakuelewa. Ila haiwezekani ukachukia Toyota zote boss. Unaweza chukia hii kitu? TuView attachment 2337345 View attachment 2337343View attachment 2337344
Kabisa mkuu. Bora uwe very specific, sipendi Toyota rav 4 generation ya 1.Ndio mana nikamwambia Toyota ni kampuni [emoji28][emoji28][emoji28]. Kuna watu wana judge kampuni nzima kwa kuona Passo nadhani..
Magari mengi siku hizi muonekano unafanana sana, mtu anaposema hapendi muonekano wa gari za kampuni flani hua naona anazingua tu.
Kabisa mkuu. Yani ni sawa mtu aseme hapendi muonekano wa Volkswagen kwa kuangalia Volkswagen Up!.Kabisa mkuu. Bora uwe very specific, sipendi Toyota rav 4 generation ya 1.
Hela ya kununulia Tundra sio mchezo , sio IST hiyo 😀😀Nakuelewa. Ila haiwezekani ukachukia Toyota zote boss. Unaweza chukia hii kitu? TuView attachment 2337345 View attachment 2337343View attachment 2337344
Kwamba kwenye hiyo "guarantee" ndo unapewa spares & parts bure?Kama jipya nunua tu mpaka guarantee iishe likaanza kusumbua muda utakuwa umeenda uza likiwa bado na mwonekano mzuri km 80,000 mpaka 100,000 nunua jingine. Ila kama unanunua used na spea ndo kipaumbele chako nunua Toyota.
View attachment 2337219
Magari yanayoenda kwenye masoko ya Marekani ni mabaya kimuonekano.Nakuelewa. Ila haiwezekani ukachukia Toyota zote boss. Unaweza chukia hii kitu? TuView attachment 2337345 View attachment 2337343View attachment 2337344
😀 😀Kabisa mkuu. Yani ni sawa mtu aseme hapendi muonekano wa Volkswagen kwa kuangalia Volkswagen Up!.
Kabisa National.Hela ya kununulia Tundra sio mchezo , sio IST hiyo 😀😀
Kwa uelewa wangu mdogo Guarantee Inategemeana na brand. Kila brand na offers zake. Kuna mtu alikuwa na Hummer kabla hawajastop prod ikaja na box lenye all necessary spare parts na handles. Set ya breakpads, shockup, stabliser links, sensors etc.Kwamba kwenye hiyo "guarantee" ndo unapewa spares & parts bure?
Well, egg shape, beast shape, feminine shape kila mtu na choice yake boss all in all point ni kuchukia brand zote za TOYOTA lazma kuna ambayo itakuvutia.Magari yanayoenda kwenye masoko ya Marekani ni mabaya kimuonekano.
They're too big for nothing.
Twin turbo V6 engine yenye 400+ hp ni big for nothingWell, egg shape, beast shape, feminine shape kila mtu na choice yake boss all in all point ni kuchukia brand zote za TOYOTA lazma kuna ambayo itakuvutia.
Big for nothing unamaanisha?
Okey mkuu platnam.Twin turbo V6 engine yenye 400+ hp ni big for nothing