Wataalam wa magari naombeni ushauri

Magari yanayoenda kwenye masoko ya Marekani ni mabaya kimuonekano.

They're too big for nothing.

Hizo trucks huwa ni kwa watu wanaofanya shughuli heavy duty...

Zinavuta mizigo mizito hizo mashine...

Toyota katengeneza hizo ili kushindana na soko la trucks kama Chevy, RAM, Ford n.k
 
Jamaa concern yake ya spare kwa Mazda nashindwa kubaliana naye, sababu kwanza anasema anamiliki BMW, pili hapendi Toyota...

Kwa hizo facts mbili tu, hana sababu ya kuhofia kumiliki Mazda
Spare sio swapa la kulia lia kama pesa ipo. Dunia ni ki bush siku hizi.
 
Platnam mpo wawili?
Hapana, pengine hukuelewa statement yangu ya awali... Nilikua nakwambia kwamba jamaa anamaanisha hp 400+ twin turbo V6 ni big for nothing
 
Reactions: Tsh
Hapana, pengine hukuelewa statement yangu ya awali... Nilikua nakwambia kwamba jamaa anamaanisha hp 400+ twin turbo V6 ni big for nothing
Oooh. Poa mkuu
 
Hii ndo confidance yangu always nilipomilik bmw watu walipiga kelele but mbona naienjoy tu
[emoji1][emoji1] bahati mbaya BMW,Benz,Audi,Vw zilizojaa bongo Ni modal za zamani zamani tu.Hawachekani na wanaonunua Toyota kwa maana ya CIF+Kodi za TRA

Utofauti Utakuja tu kwny maintenance costs.
 
Kuna gari nimeipenda sana nataka nimwagizie wife.

Mazda CX-5 nzuri sana mwonekano.

Je wataalam upatikanaji wake wa spear ukoje?

Au kuna mtu amewah kuimiliki anishaur pls
Hizi Gari Nairobi zimejaa wanasema ziko nyingi Kama IST Dar es salaam. Ila wanasema Za Petrol ndio uhakika, za Diesel zina usumbufu japo ndio Zina nguvu na ndio zinatumia mafuta kidogo. Nenda You tube Search channel ya Kenya inaitwa "Carnversation" ame Review Cx5 vizuri sana.
Dar es salaam nimeona Mazda CX5 zinaingia kwa wingi sana hasa kuanzia Mwaka huu naona baada ya miaka kadhaa zitajaa kama Vanguard na Dualis.
 
Kuna gari nimeipenda sana nataka nimwagizie wife.

Mazda CX-5 nzuri sana mwonekano.

Je wataalam upatikanaji wake wa spear ukoje?

Au kuna mtu amewah kuimiliki anishaur pls

Nasubiri thread ya hii gari
Nmetokea kuielewa sana…one of my wishlist
Huwa napata shida kuchagua Tiguan vs Cx-5
Ni gari ambazo nafikiri kumiliki mojawapo in near feature!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…