Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Mungu yupo kama huamini kuna siku utaamini endelea tu dhihaka zako.Muwekeeni picha ya Magufuli mbele yake, atapona tu.
Be serious with what am saying.
Nashukuru sana mkuuPoleni kwa kuuguza, kama mgonjwa yupo hospitali ni vizuri kwani kuna mabingwa huko wataweza kumpatia matibabu, kama ndiyo ikishindikana basi hapo unaweza kupata wataalamu wa tiba mbadala.
Lakini kuweni na subira Mungu akipenda atarudi kama zamani.
Hivi waliopania kumuua Lissu wanatambua Mungu yupo?Mungu yupo kama huamini kuna siku utaamini endelea tu dhihaka zako.
Ukapimwe mkojoMuwekeeni picha ya "Rais" mbele yake, atapona tu.
Be serious with what am saying.
Mkuu nipo mtwaraSijui upo mkoa gani ila DODOMA WaPo vizuri sana kwa hosp mkuu
ungetuliza akili,ungeweza kutoa ushauri mzuri wenye faraja kwa mleta mada zaidi ya hii porojo uliyoandika.Wataalamu halisi wa magonjwa ya akili wamekatazwa kuagua magonjwa kwa kupitia maelezo hafifu ya kwenye internet.
Huwezi kusikia mtu kama Prof. Kilonzo anaagua magonjwa ya akili kwa kusoma habari kwenye forum, kufanya hivyo ni kuvunja miiko ya taaluma. Ukiona daktari anaagua hivyo ujue kajanja huyo, si daktari aliyejua miiko ya kazi.
Huko Hospitali hakuna wataalamu waliomuona na kumkagua vizuri?
Nashukuru sana mkuu umenipa kitu nilichokua natarajia japo wengi hawakugundua nilichokua nakihitaji.. Nina swali kidogo Mara nyingi tiba zake ni za dawa zaidi au nijikite Sana na counseling?Pole sana ndugu '
Hiyo hali inawakuta watu wengi japo kiwango hutofautiana hata kwa wale wanaopoteza wachumba ,mali ,kazi na n.k
>ila tukirudi katk swala la ndugu yako kuwa hilo ni tatzo kwake limekuwa kubwa na ameshindwa kulikabili pamoja na nyie mlichukulia kuacha na mke wake ni jambo jepesi sasa ipo hivi
>ndugu yako amekubwa na Msongo wa mawazo ambao umempelekea depression na mkakanyiko wa akili [ukichaa] hali imesababisha na mawazo ya muda mrefu ambayo amechelewa kufanya maamuzi kamili [yaan alimua kumuacha ila akili ilikuwa hajajikamilisha kumuacha kimamilifu] incomplete decision
>Amekuwa na wakati wakufikiria malengo alieweka na kujipanga wakat wote na huyo mwanamke [ameshindwa kuyapotezea na kukubali hali yake ya sasa na kuanza upya ]
Ushauri kwa ujumla kwa Ndugu yako akikubwa na matatzo kama hayo usione kawaida atakama yupo kawaida mambo yakufanya
>kuwa nae karbu sana muda mwingi
>muuache akuulezee hisia zake na machungu yake
>muache alie alie kbisa [usimkatize kuulza maana kulia humsaidia kupunguza homon za uzuni iliyoingia katk damu) na kumpa unafuu
>muache aongee yeye kuliko wew
>mpeleke mazingira mapya
>usiku lala nae au mpe vidonge vya usingizi [ila kuna vidonge maalumu nenda hospital watatoa].
>ajihusishe na ngono salama kwa MTU mwingine kadiri awezavyo
>muongoze kufanya mazoezi
>mpeleke kwa wataalumu wa saikolojia.
Mkuu huyo hajawai kukumbana na shida mwache tuungetuliza akili,ungeweza kutoa ushauri mzuri wenye faraja kwa mleta mada zaidi ya hii porojo uliyoandika.
Wewe ambaye hujaeleza kwa nini na nilipokosea ni wapi hujatuliza akili zaidi yangu.ungetuliza akili,ungeweza kutoa ushauri mzuri wenye faraja kwa mleta mada zaidi ya hii porojo uliyoandika.
Umejuaje hilo? Au unaagua kwa mtandao tu?Mkuu huyo hajawai kukumbana na shida mwache tu
Inategemea MTU wako amefikia kiwango kipi ila kwakuwa nyie mlichelewesha sana naomba mufikishe hospital kabisa ili arejee kwenye hali yake mapema zAidiNashukuru sana mkuu umenipa kitu nilichokua natarajia japo wengi hawakugundua nilichokua nakihitaji.. Nina swali kidogo Mara nyingi tiba zake ni za dawa zaidi au nijikite Sana na counseling?
UGONJWA WA KAKA YAKO TIBA YAKE NI UTATUZI WA MGOGORO NA MKE WAKE YAANI HAPO KIKUBWA NI MKE KUWA AU KURUDI TU HAKUNA TIBA NYNGINE. NA KAMA CHANZO CHA KUACHANA NI MWANAMKE KUMKATAA WAKATI ALIPENDWA AISEE TIBA NI HUYO WIFI YAKO TU...Kwanza kabisa niwape pole Kwa majukumu. Nina kaka yangu. Wa damu 1 niliemfuatia. Alianza na kulalamika kua mke wake anamsumbua lakini mwezi umepita akawa ni mkali hata Kwa jambo dogo. Ongea yake ni ukali tu. Lakini badae ikafika hatua na mkewe wakaachana yani akamfukuza kutokana na maelewano ndani ya nyumba. Wakagawana Mali zao Sasa tangu pale wiki 3 Sasa Hali ikazidi kua mbaya hivi Saivi tupo nae hospital tumefunga kamba asikimbie.. Wataalam wangu nisaidieni tatizo ni nini hasa? Ili kaka awe kama mwanzo ushauri wenu wadau. Asanteni.