Wataalam wa magonjwa ya akili, tangu jana nyumbani hatulali kaka amechanyikiwa hivyo ni vurugu tu

kABISA HAPO UPO SAHIHI..

ajihusishe na ngono salama kwa MTU mwingine kadiri awezavyo
 
Inategemea MTU wako amefikia kiwango kipi ila kwakuwa nyie mlichelewesha sana naomba mufikishe hospital kabisa ili arejee kwenye hali yake mapema zAidi

Kwa level ya familia inabidi tuanze mjua MTU tangu tatzo limetokea na kumsaidia kwa ukarbu zaid
Kwa level ya kifamilia tatizo lilianza a nalalamika Hana pesa na alikua akiomba msaada anakulazimisha umpe. Lakini badae akatulia na wiki mbili badae akaanza kutoa pesa ndani ya nyumba na kumsaidia ndugu Sasa jambo hili mke wake akaona ni uharibifu wa pesa.. Kiufupi mwanamke ni m.banaji. Ndipo alipoamua kumfukuza mkewe na kubaki pekee.. Hapo ndipo shida ikaongezeka mpaka kufikia Sasa. Kiufupi haeleweki.
 
Yaan walipofanakana mlipaswa kujua nini zaidi kwa undani na hisia za ndugu yenu [mawazo yake]
Ki Tz mambo ya saikologi tunachukulia poa ila kwa maisha ya sasa wengi huzongwa na magonjwa ya ukichaa ,depression ,bp na n.k kwakuw hukutana na changamoto ambazo wanashindwa kuzitatua kisaikolojia.

,[HASHTAG]#Natumain[/HASHTAG] yupo hospital na anapata huduma ?
 
UGONJWA WA KAKA YAKO TIBA YAKE NI UTATUZI WA MGOGORO NA MKE WAKE YAANI HAPO KIKUBWA NI MKE KUWA AU KURUDI TU HAKUNA TIBA NYNGINE. NA KAMA CHANZO CHA KUACHANA NI MWANAMKE KUMKATAA WAKATI ALIPENDWA AISEE TIBA NI HUYO WIFI YAKO TU...
Ni jambo la msingi ndio maana nikasema wawez kukaa nae na afikie maamuz kamili
Kaka asnt kwakuliweka wazi kbsa
 
Stress zimepelekea hilo ila linatibika huko huko uliko wala huhitaji kwenda Dodoma maana hatua aliyopo ni mwanzo tu nina ndg yng hapa wa aina hiyo chanzo kilikua stress za mapenzi hatimae ukali,kuongea mwnyw,kuvua nguo hadi kuacha kazi na kuongea mambo yasiyoeleweka katibiwa Hosp ya mkoa na anaendelea vzr cha msingi azingatie dawa!!! Pia msimwache peke yake
 
Ndio Leo ameanza sindano hapa hospital
 
Nashukuru mkuu Kwa faraja
 
Okay ni vzr jipange mnapofika hospital kukuta na daktari atawapa maelekezo mazuri kwa ukarbu ndugu kwakuwa atakuwa amechokua history ya mgonjwa.
=hope everything will be fine
 
Dawa yake funga kamba leta fimbo
 
Usikate tamaa atapona..kuna ndugu alikuwa na shida kama hiyo na aliuguziwa nyumbani kwetu....Baada ya kutoka hospitali alitafutiwa mtu wa porojo nyingi awe anapiga nae soga throughout....Jamaa mpaka sasa ana akili timamu while before alikuwa anafungwa kamba.
Nikufariji tu ndugu yako atapona.
 
Nashukuru sana mkuu Kwa faraja yako
 
Mkuu sawe4u huu ushauri wako "mgonjwa afanye ngono salama na mtu mwingine" unahisi waangalizi wa mgonjwa watauzingatia kweli? na ni mwanamke gani timilifu atakubali kumgawia penzi mwanaume mgonjwa wa akili?
 
Mkuu sawe4u huu ushauri wako "mgonjwa afanye ngono salama na mtu mwingine" unahisi waangalizi wa mgonjwa watauzingatia kweli? na ni mwanamke gani timilifu atakubali kumgawia penzi mwanaume mgonjwa wa akili?
Mkuu labda hujamwelewa mtoa hoja.
 
maskini mafile yamejichanganya tafuteni kwanza spirit help akiwa hapo hospital ILA. uyu msaidiz wa kiroho asiwe hawa digital then madr wakiwapa report nzuri tafuten psychologist adeal nae
 
Mkuu sawe4u huu ushauri wako "mgonjwa afanye ngono salama na mtu mwingine" unahisi waangalizi wa mgonjwa watauzingatia kweli? na ni mwanamke gani timilifu atakubali kumgawia penzi mwanaume mgonjwa wa akili?
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ bana weeee nimepafikiria sana hapo.....Bora umesema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…