GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa jinsi palivyo sasa Tanganyika Packers Kawe na Ujenzi unaoendelea, Kulivyobanana na hata Hali ya Usalama kuwa si nzuri nikisikia kuna Tamasha lolote lile linataka Kufanyika naanza kuingiwa / kujawa na Hofu Kubwa kuwa huenda Madhara Makubwa ( Vifo au Watu Kujeruhiwa ) kukatokea na baadae tukajifariji kwa Maneno yetu ya Kinafiki na Kipuuzi kuwa ni Kazi ya Mungu.
Msije kusema Critical Observer Mimi GENTAMYCINE sikuwatahadhirisha na mnaotoa Vibali kwa Matamasha kufanyika Maeneo Hatarishi kwa sasa kama Tanganyika Packers Kawe likitokea na kutokea mjue Kutubu kwa Mungu na Kuzilinda Familia za Walioondoka mazima.
Tayari nimeshaona HATARI mahala.