Nataka kufahamu nikitaka kufanya biashara kwa kutumia Instagram. Je ni bidhaa ipi inayouza sana?
Wanasema vitu wanavyopenda wanawake ndio vina wateja sana.
Wengine wanasema watu wa maofisini (mashefa) ndio wanunuzi wazuri mitandaoni.
Ningependa kujua bidhaa moja
(niche) nayoweza kuuza kwa kutumia Instagram.
Iwe ni viatu, urembo, nguo, mapambo, vitu vya nyumbani nisaidie maoni chochote kulingana na uzoefu wako.
mada imeisha hapaSoko la mtandaoni sio rahisi kama unavyoliona yaani hii ni kwa chochote utakachochagua kuuza.
Mwanzoni unavyoanza unaweza kukata tamaa yani. Kuna muda mwingi wa msoto, kuna muda wa kupata mteja mmoja mmoja. Muhimu uvumilivu na mbinu zako za biashara ziwe zina improve kila leo. Achana na yale mambo njoo Dm, sijui njoo WhatsApp.
Bidhaa yako ukiweka isiwe na maswali tena zaidi mtu akiona awe ameshapata majibu yote akikufata maana ake anataka kujua anapata hiyo bidhaa kwa utaratibu gani.
Hivyo mimi binafsi naamini baishara yoyote mtandaoni inauza ni mbinu zako za kukamata soko na pia haiko rahisi kama unavyoiona huko insta.
Insta imejaa biashara za uongo kabisa, wengi wanaoshinda huko Ni low income earners, purchasing power Chali, watanunua Nini?
Asante kaka, mimi nimejipanga kutumia kama miezi sita kujenga brand yangu. Kwa kuwa ni mgeni kwenye hiyo biashara so ndio maana nataka nipate experience ya wengine.Kila bidhaa inauza sana na kila bidhaa haiuzi sana inategemea na wewe muuzaji umejpanga vipi.
Okay thanks kwa ushauri, what if nikiuza viatu vya kike unaonaje? Classic kwa bei ndogo.Soko la mtandaoni sio rahisi kama unavyoliona yaani hii ni kwa chochote utakachochagua kuuza.
Mwanzoni unavyoanza unaweza kukata tamaa yani. Kuna muda mwingi wa msoto, kuna muda wa kupata mteja mmoja mmoja. Muhimu uvumilivu na mbinu zako za biashara ziwe zina improve kila leo. Achana na yale mambo njoo Dm, sijui njoo WhatsApp.
Bidhaa yako ukiweka isiwe na maswali tena zaidi mtu akiona awe ameshapata majibu yote akikufata maana ake anataka kujua anapata hiyo bidhaa kwa utaratibu gani.
Hivyo mimi binafsi naamini baishara yoyote mtandaoni inauza ni mbinu zako za kukamata soko na pia haiko rahisi kama unavyoiona huko insta.
Shukrani kwa inputs mkuu.Uza shanga za kiunoni, vikuku, vipini vya pua, hereni,mikufu nk naona kina dada wanavaa sana.
Au niche ya sendoz za kike tu.
Okay sawa nitafanya research, japo uwa naona kama hii ni biashara inayoweza mdhulu mtu kama ufahamu vizuri mambo ya madawa.Dawa za kupungua, naona wote walioanzisha hii haijawatupa.
Unamaanisha nini?"PISI KALI" ndio inauzika sana Insta.
Asante mkuu.Unatakiwa kutoa elimu ili utengeneze authority katika niche yako uliyochagua, hapa utajenga uaminifu kwa wateja watarajiwa kwa kuonesha weledi katika eneo husika na pia inahitaji mvumilivu wa hali ya juu na kutokukata tamaa
Mimi sichukulii insta kwa mtazamo wako, mimi naiona kama fursa as watumiaji wengi wa mitandao wapo insta na facebook.Insta imejaa biashara za uongo kabisa, wengi wanaoshinda huko Ni low income earners, purchasing power Chali, watanunua Nini?
Well said mkuu. Asante.Unamaanisha watu wa insta, hawavai nguo, viatu, hawaweki covers kwenye simu, hawana uwezo wa kununua radio, tv, izo simu wanazotumia wanapewa hawanunui. Unamawazo ya kimaskini wewe ndio unaitumia insta in negative parception usipende kukatisha watu tamaa kwa usichokijua hujui dunia ya sahv inahitaji nini. Ili jibu lako ungemjibu km angesema anatafuta mteja wa lamborgin car instagram