Wataalam wa marketing. Je, Bidhaa ipi inayouza sana instagram?

Wataalam wa marketing. Je, Bidhaa ipi inayouza sana instagram?

Okay thanks kwa ushauri, what if nikiuza viatu vya kike unaonaje? Classic kwa bei ndogo.
Ni biashara nzuri. Kama nilivyosema biashara zote zinauza instagram. Bidhaa za vijana zinauza. Ni wewe tu na uvumilivu na mbinu katika kutafuta soko na kukuza jina lako.
 
Biashara zinazofanya vizuri ni bidhaa za wanawake, ushauri km umeamua kufanya biashara online usitegemee sana insta, tumia pia Facebook inawateja wengi kuliko insta.
 
Mimi sichukulii insta kwa mtazamo wako, mimi naiona kama fursa as watumiaji wengi wa mitandao wapo insta na facebook.
Hapa namfundisha mteja kutoka Kenya nilimpata Instagram,
Screenshot_20201111-215038_1605120931091.jpeg
 
Biashara zinazofanya vizuri ni bidhaa za wanawake, ushauri km umeamua kufanya biashara online usitegemee sana insta, tumia pia Facebook inawateja wengi kuliko insta.
Noted with thanks
 
Back
Top Bottom