wataalam wa masikio

mbapa

Member
Joined
Feb 4, 2014
Posts
63
Reaction score
18
habarini za asbuh madoctor!, nina dada yangu mwenye tatizo la sikio la kulia anajiskia kama kuna kitu kinamuumiza alaf ukiangalia skio kwa ndani unaona kama mdudu flan ama kupe ndogo, kiroboto au papasi!. je, ni dawa gani ukiweka inaua mdudu bila kuathiri sikio?. msaada wa haraka tafadhalini!. asubuhi njema.
 
Dah! Pole sana!
Kama huyo mdudu mnamuona, tafuteni bomba la sindano, muweke mafuta ya taa, mumchome huyo mdudu! Kama tatizo ni kufa basi atakufa tu!
...
Hapo itabaki issue ya kumtoa!
 
Dah! Pole sana!
Kama huyo mdudu mnamuona, tafuteni bomba la sindano, muweke mafuta ya taa, mumchome huyo mdudu! Kama tatizo ni kufa basi atakufa tu!
...
Hapo itabaki issue ya kumtoa!

Dr. Mashaxizo
 
Last edited by a moderator:
Dah! Pole sana!
Kama huyo mdudu mnamuona, tafuteni bomba la sindano, muweke mafuta ya taa, mumchome huyo mdudu! Kama tatizo ni kufa basi atakufa tu!
...
Hapo itabaki issue ya kumtoa!

mafuta taa yanaweza ua huyo mdudu?, na je, hayawezi kudhuru sikio?. asante sana ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…