mbapa
Member
- Feb 4, 2014
- 63
- 18
habarini za asbuh madoctor!, nina dada yangu mwenye tatizo la sikio la kulia anajiskia kama kuna kitu kinamuumiza alaf ukiangalia skio kwa ndani unaona kama mdudu flan ama kupe ndogo, kiroboto au papasi!. je, ni dawa gani ukiweka inaua mdudu bila kuathiri sikio?. msaada wa haraka tafadhalini!. asubuhi njema.