Wataalam wa mtaani na vipimo vya afya kupima magonjwa mbalimbali

Wataalam wa mtaani na vipimo vya afya kupima magonjwa mbalimbali

Ighombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
1,181
Reaction score
675
Jamani wanajamvi ,Kwa yeyote anayejua ukweli kuhusu hawa wataalam wa mtaani waliozagaa Masokoni na kila mahali mitaani anijuze .Wanapima kwa utaratibu ufuatao:
(1) Kipimo kinawekwa kwenye kidole mkononi halafu anakuambia una ugonjwa wa moyo, figo na mengineyo.
(2) Baada ya vipimo matibabu yanatolewa iwe ni sokoni au barabarani raia wanabandikwa dawa.
Swali:hivi ni kweli vipimo kama hivi ambavyo hata specimen haichukuliwi vipo? na hawa watu wanasajiliwa na kitengo gani ktk nchi hii?
NB.Sasa hospitali zimejengwa xa kazi gani?
Binafsi niliwahi kumpeleka mgonjwa wangu kwa wachina pale Kaloleni kwa doctor mmoja anajiita Li kawekewa kipimo kidoleni kaambiwa moyo unakua na makorokocho kibao.Baadae hospitalini kaambiwa hana tatizo.KARIBUNI KWA MCHANGO WENU.
 
hakuna uongo na unyanganyi kama wanaufanya hao majamaa yaan ni waongo wacha tu.ni zaid ya karata 3.tena wengine wanakuwaga kwenye tv na radio jinsi wanavyoelezea magonjwa tofaut na mwil wenyewe wamesoma elimu ya anatomy juu pathology hakuna.ndugu zangu si vibaya ukajua anaekutia ni mtu wa kada gan katika afya maana njaa hiz ni noma
 
Back
Top Bottom