donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Habari wakuu,
Juzi niliota nikamuona jamaa mmoja ambaye ni mkuu wangu kwenye "kampuni" tunapofanya kazi yupo anaangalia navyopambania mchakato wangu wa kupata hela ananichek kwa jicho kama anataka kwamisha mishe yangu (na yeye ndio mkuu wa ofisi ya pesa), kesho yake kazini asubuhi namuona halafu anapandishwa cheo.
Jana usiku nimeota kama tulikua mawindoni mimi nimembeba njiwa tuliemuangusha, leo asubuhi tumekaa kijiweni hapa mzigoni na bro mmoja tunakula Winston, njiwa wakaja wakatua kwenye huu mti ambao tumekaa. Nikaenda kwenye gari nikachukua manati na gololi nikaja nikamlenga mmoja, Tawi la mti likamuokoa yule njiwa maana ilikua inaenda kutua kichwani, njiwa akaruka.
Napata mashaka somehow vitu ninavyoviota vinakuja ku-happen in reality kwa namna Fulani. Au ni ishara ya unabii?