Rene Jr.
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 3,714
- 2,376
Hebu angalia hii kwa wenzetu Ufilipino bei rahisi mpaka unaogopa, hzi hapa kwa vyumba viwili vya kulala, sebule na jiko haizidi 50M, tena unalipa kwa miaka minne, unalipa around laki tano tu kwa mwezi, kama robo tu ya bei ya pango kwa appartment ya vyumba viwili, tena siyo eneo prime!!! Nini kinasababisha bei ya nyumba iwe juu sana hapa kwetu?!!!

