Wadau nina hitaji kupata wataalam wa kurekebisha Rims za Gari Alminium Rims zangu zimepasuka na bado nazipenda Kama kuna mtu yeyote humu jukwaani anafaham walipo wataalam hao pls anijulishe Nasikia kuna utaalam wa kuzichomelea zinakuwa angalau
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nashuri uweke na mahali unapopatikana ili iwe rahisi wataalamu kukusaidiaWadau nina hitaji kupata wataalam wa kurekebisha Rims za Gari Alminium Rims zangu zimepasuka na bado nazipenda Kama kuna mtu yeyote humu jukwaani anafaham walipo wataalam hao pls anijulishe Nasikia kuna utaalam wa kuzichomelea zinakuwa angalau
Sent from my iPhone using JamiiForums